Genesis 13:15-17

15 aNchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele. 16 bNitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo kama kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika. 17 cOndoka, tembea katika marefu na mapana ya nchi, kwa maana ninakupa wewe.”

Copyright information for SwhNEN